Habari

KIM AAMURU KIKOSI CHA NYUKLIA KUWA TAYARI

Kiongozi Mkuu wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, ameamuru kikosi cha nyulia nchini humo kufanya
Read More

KOREA KASKAZINI YADAIWA KUIBA DOLA BILIONI 1.5

Shirika la Ujasusi la Marekani (FBI), limeishutumu Korea Kaskazini kutumia kundi la TraderTraitor kufanya wizi
Read More

AFRIKA KUSINI YAONDOA WANAJESHI WAKE DRC

Taarifa iliyotolewa jana na jeshi la Afrika Kusini ilisema kuwa, jumla ya wanajeshi 127 wa
Read More

MATAJIRI KULIPA BILIONI 12 KUISHI MAREKANI

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza mpango mpya wa “Kadi za Dhahabu” ambao utawapa utawapa
Read More

WANAMGAMBO 70 WA AL SHABAAB WAUWAWA SOMALIA

Zaidi ya wanamgambo 70 wa kundi la Al-Shabaab wameuawa katika operesheni ya jeshi kwa ushirikiano
Read More

UINGEREZA YASITISHA MSAADA KWA RWANDA KISA VITA KONGO

Uingereza imetangaza kusitisha msaada wake kwa Rwanda kufuatia mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wa M23 ambapo
Read More

MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA UPINZANI YAVAMIWA UGANDA

Chama kikuu cha kisiasa nchini Uganda, NUP kimevishutumu vyombo vya usalama nchini humo kwa kushiriki
Read More

RAIS SAMIA ATANGAZA KUMSAMEHE MAKAMBA

Rais Samia Suluhu Hassan amesema amemsamehe Mbunge wa Bumbuli mkoani Tanga, January Makamba na sasa
Read More

HALI YA PAPA FRANCIS INATIA MASHAKA HOSPITALINI

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis yupo katika hali mbaya ya kiafya kutokana na
Read More

WANAFUNZI 121 WA UDOM WAFUKUZWA MASOMO

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimesema kuwa Wanafunzi 121 wamesitishiwa masomo (Discontinue), baada ya kupatikana
Read More