DKT NCHIMBI AMUOMBEA KURA ZA USHINDI WA KISHINDO DKT.SAMIA KIBAHA VIJIJINI.

DKT NCHIMBI AMUOMBEA KURA ZA USHINDI WA KISHINDO DKT.SAMIA KIBAHA VIJIJINI.

  • Habari
  • October 10, 2025
  • No Comment
  • 22
13 / 100 SEO Score

Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia Wananchi waliofika kumsikiliza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa Mama Salmini, Mlandizi ndani ya jimbo la Kibaha Vijijini leo Ijumaa Oktoba 10, 2025 mkoani Pwani.

Katika mkutano huo, Dkt.Nchimbi pamoja na kunadi Sera na Ilani ya CCM ya 2025-2030,pia alimuombea kura za ushindi wa kishindo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, Wabunge na Madiwani.

Pamoja na mambo mengine,Dkt Nchimbi pia alitumia nafasi hiyo kuwanadi wagombea Ubunge wa mkoa huo akiwemo mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha Mjini Ndugu Silyvestry Francis KOKA, mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha Vijijini Ndugu Hamoud Abuu Jumaa  pamoja na Madiwani.

Related post

RAIS SAMIA ATEUA WABUNGE SITA

RAIS SAMIA ATEUA WABUNGE SITA

13 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score
BUNGE LA 13 KUANZA RASMI KESHO JIJINI DODOMA

BUNGE LA 13 KUANZA RASMI KESHO JIJINI DODOMA

13 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score MKUTANO wa kwanza wa Bunge la 13 unatarajiwa kuanza rasmi kesho,…
TANZANIA YAIHAKIKISHIA DUNIA HALI YA UTALII IKO SALAMA

TANZANIA YAIHAKIKISHIA DUNIA HALI YA UTALII IKO SALAMA

13 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score Na Mwandishi Wetu, Riyadh Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii,…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *