KENYA YAJITOA KWENYE MASHINDANO MAFUPI YA CECAFA ARUSHA

KENYA YAJITOA KWENYE MASHINDANO MAFUPI YA CECAFA ARUSHA

  • Michezo
  • July 21, 2025
  • No Comment
  • 51
10 / 100 SEO Score

Timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) imejiondoa kwenye mashindano mafupi ya CECAFA yanayojumuisha timu nne, yaani Tanzania, Kenya, Uganda na Senegal kwaajili ya maandalizi kuelekea michuano ya CHAN mwanzono mwa mwezi Agosti, 2025.

 

Mashindano haya yaliandaliwa Kwa kushirikiana na ukanda mzima wa CECAFA, awali ilitakiwa ziwe timu nne ikiwemo timu ya taifa ya CONGO BRAZA VILLE ambayo wiki Moja kabla ya mashindano hayo kuanza ilijiondoa kutokana na kupata changamoto ya kusafiri.

 

Na baada ya timu hiyo kujiondoa, timu ya taifa ya Senegal iliongezwa kuziba nafasi hiyo, lakini Cha ajabu Kenya nao wamejiondoa kwenye michuano hiyo mifupi ambapo leo walitakiwa kucheza na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) majira ya saa 9:00 mchana.

 

Timu hiyo imelazimika kuanza safari ya kurejea nchini kwao Kenya kuendelea na maandalizi ya CHAN ambayo itaanza tarehe 02/08/2025, hatua hii imekuja mara baada ya kocha mkuu wa timu hiyo Benni McCrthy kutoridhishwa na mazingira ya mashindano hayo.

Related post

TIMU YA UFUATILIAJI NA TATHMINI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YATINGA MANYARA NA ARUSHA

TIMU YA UFUATILIAJI NA TATHMINI YA WIZARA YA MALIASILI…

10 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score Na Sixmund Begashe, Arusha Timu ya wataalamu wa Ufuatiliaji na Tathmini…
HANDENI MJI YAAINISHA MIKAKATI MITANO KUIMARISHA AFUA ZA LISHE

HANDENI MJI YAAINISHA MIKAKATI MITANO KUIMARISHA AFUA ZA LISHE

13 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score Na Mwandishi Wetu HALMASHAURI ya Mji Handeni imeainisha mikakati mitano ya…
RAIS SAMIA ATEUA WABUNGE SITA

RAIS SAMIA ATEUA WABUNGE SITA

13 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *