TRUMP KULA SAHANI MOJA NA WALIOBADILI JINSIA JESHINI
- Habari
- January 28, 2025
- No Comment
- 110
Rais Wa Marekani Donald Trump Ametia Saini Amri Ya Kurekebisha Sera Jumuishi Ya Wizara Ya Ulinzi, Hatua Inayolenga Kuwazuia Watu Waliobadili Jinsia Kuhudumu Katika Jeshi La Marekani.
Rais Trump Ambaye Alijaribu Kuchukua Uamuzi Kama Huo Wakati Wa Muhula Wake Wa Kwanza Lakini Akakabiliwa Na Vikwazo Vya Kisheria, Amesema Hatua Hiyo Itahakikisha Marekani Inakuwa Na Jeshi Imara Zaidi Duniani.
Hatua Hii Inapingwa Na Wanaharakati Wa Jamii Za Watu Wanaoshiriki Mapenzi Ya Jinsia Moja Ambao Wanaiona Kama Ukiukwaji Wa Haki Za Binaadamu.
✍️| Kastul Elias
