
WAHAMIAJI HARAMU 956 WAKAMATWA MAREKANI
- Habari
- January 28, 2025
- No Comment
- 40
Msako Mkali Uliofanywa Na Maafisa Wa Polisi Nchini Marekani Siku Ya Jumapili Dhidi Ya Wahamiaji Wasio Na Vibali Umekamata Watu 956 Ikiwa Ni Idadi Kubwa Zaidi Tangu Rais Donald Trump Arejee Madarakani.
Wahamiaji Hao Wasio Na Vibali Walikamatwa Katika Miji Kadhaa Nchini Humo Ikiwemo Chicago, Newark Na Miami.
Ikumbukwe Rais Wa Sasa Wa Marekani Donald Trump Wakati Akiapishwa Siku Kadhaa Zilizopita Alisema Kuwa Atwaondoa Wahamiaji Wote Wasio Na Vibali Nchini Marekani Na Kuwarudisha Makwao
✍️| Kastul Elias