DKT.NCHIMBI AWASILI MOROGORO KUENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI.

DKT.NCHIMBI AWASILI MOROGORO KUENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI.

  • Habari
  • October 18, 2025
  • No Comment
  • 7
13 / 100 SEO Score

Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili mkoani Morogoro leo Oktoba 18,2025 kuendelea na mikutano yake ya hadhara ya kampeni ya kusaka kura za ushindi wa Kishindo za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan,Wabunge na Madiwani

Kwa mujibu wa ratiba ya leo,Dkt.Nchimbi atafanya mikutano mitatu. Mkutano wa kwanza utakuwa ni wa kuwasalimia Wananchi katika kata ya Kidoma,Mikumi na mkutano mwingine utafanyika kata ya Mwaya,Kilombero na wa tatu utakuwa Mtimbira,Malinyi.

Related post

SERIKALI YAPANGA KUIMARISHA UBORA NA USALAMA WA  CHAKULA

SERIKALI YAPANGA KUIMARISHA UBORA NA USALAMA WA  CHAKULA

16 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera,akizungumza…
RAS ARUSHA: MAFUNZO YA PPRA YATAONDOA UWEZEKANO WA KUPATA HASARA

RAS ARUSHA: MAFUNZO YA PPRA YATAONDOA UWEZEKANO WA KUPATA…

11 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Bw. Missaile Musa amesema mafunzo yanayotolewa…
BIL 527 ZATEKELEZA MIRADI 13 YA TANROADS TABORA-ENG MLIMAJI

BIL 527 ZATEKELEZA MIRADI 13 YA TANROADS TABORA-ENG MLIMAJI

16 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score Katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *