SIMBA SC KUIVAA MBEYA CITY KESHO CRDB CUP

SIMBA SC KUIVAA MBEYA CITY KESHO CRDB CUP

  • Michezo
  • April 12, 2025
  • No Comment
  • 17

Hatua ya robo fainali ya Kombe la CRDB Bank Federation Cup itaanza kutimua vumbi kesho jumapili ambapo Wekundu wa Msimbazi, Simba SC watawaalika Mbeya City mchezo utakaochezwa katika dimba la KMC, Mwenge Jijini Dar es Salaam.

 

Mbali na hapo siku ya jumatatu ya Aprili 14, 2025 JKT Tanzania watawaalika Pamba Jiji huku Singida Black Stars wakitafuta nafasi ya kutinga nusu fainali ya kombe hilo kwa kucheza na Kagera Sugar.

 

Hatua ya robo fainali itatamatishwa na mchezo kati ya mabingwa tetezi wa michuano hiyo, Klabu ya Yanga ambao watachuana vikali na wapiga debe wa Shinyanga, Stand United siku ya jumanne ya Aprili 15, 2025 katika dimba la KMC Complex.

Related post

RAIS SAMIA AMLILIA CHARLES HILLALY

RAIS SAMIA AMLILIA CHARLES HILLALY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa ameshtushwa na taarifa za…
WATIANIA NAFASI YA UBUNGE CCM WATUHUMIWA KWA RUSHWA

WATIANIA NAFASI YA UBUNGE CCM WATUHUMIWA KWA RUSHWA

Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, kimesema Watia nia 9 wa nafasi za Ubunge na Udiwani Wilayani humo,…
UNFPA YASITIKITISHWA NA MAREKANI KUSITISHA UFADHILI WAKE

UNFPA YASITIKITISHWA NA MAREKANI KUSITISHA UFADHILI WAKE

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Afya ya Uzazi na Jinsia (UNFPA) limetangaza kuwa Serikali ya Marekani imeamua kusitisha ufadhili wake…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *