
BAYERN MUNICH KAZI WANAYO LEO USIKU WA ULAYA
- Michezo
- February 12, 2025
- No Comment
- 98
Hatua ya mtoano (playoff) kutafuta timu 8 zitazoungana na timu zingine 8 kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, itaendelea hii leo kwa michezo kadhaa kuchezwa ambapo ratiba hiyo ipo kama ifuatavyo:-
Celtic vs Bayern Munich
Feyenoord vs AC Milan
Monaco vs Benfica
Ikumbukwe pia usiku wa hapo jana baadhi ya michezo mitatu ilichezwa na ilichezwa na matokeo yake ni kama ifuatavyo.
Brest 0-3 PSG
Juventus 2-1 PSV
Sporting 0-3 Dortmund