
HAALAND BADO YUPO SANA ETIHAD
- Michezo
- January 17, 2025
- No Comment
- 104
Taarifa Kutoka Katika Jiji La Manchester Zinasema Kuwa, Mshambuliaji Erling Haaland, Ameogeza Mkataba Mpya Na Mrefu Zaidi Wa Kuendelea Kuitumikia Klabu Ya Manchester City.
Mkataba Huo Mpya Wa Miaka 9 Utamfanya Nyota Huyo Raia Wa Norway Kuendelea Kukaa Katika Viunga Vya Manchester Hadi Mwaka 2034.
Ikumbukwe Kuwa Mwanzo Kulikua Na Tetesi Nyingi Kumhusisha Nyota Huyo Kujiunga Na Real Madrid Huku Taarifa Zingine Zikidai Kuwa Kuwa Nyota Huyo Wa Zamani Wa Borussia Dortmund Ana Furaha Sana Kusalia Manchester City.