
HERI YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR
- Habari
- January 12, 2025
- No Comment
- 107
Leo Januari 12, 2025, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inasherehekea Kumbukumbu ya Siku muhimu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ikiwa ni miaka 61 tangu Hayati Sheikh Abeid Aman Karume na wenzake waongoze Mapinduzi hayo na kuchukua Dola ya Visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar)