KOREA KASKAZINI YAANZA KUCHUNGUZA AJALI YA MELI

KOREA KASKAZINI YAANZA KUCHUNGUZA AJALI YA MELI

  • Habari
  • May 23, 2025
  • No Comment
  • 77

Vyombo vya habari vya serikali nchini Korea Kaskazini vimerifu leo Ijumaa kuwa vyombo vya Usalama vimeanza kuchunguza ajali iliyotokea wakati wa uzinduzi wa meli mpya ya kivita wiki hii.

 

Korea Kaskazini ilisema jana kwamba “ajali mbaya ilitokea” katika hafla ya uzinduzi wa meli hiyo ya tani 5,000, baada ya sehemu ya chini ya meli kuvunjika, hatua iliyomghadhabisha kiongozi wake, Kim Jong Un aliyeiita ajali hiyo “kitendo cha kihalifu”.

Shirika rasmi la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), hata hivyo, limesema leo kwamba ukaguzi uliofanywa chini ya maji na ndani wa meli hiyo  ulithibitisha kwamba, hakukuwa na matundu chini ya meli tofauti na ilivyoripotiwa awali.

 

Limesema, kiwango cha uharibifu “si kikubwa” ingawa liliongeza kuwa ilikuwa ni muhimu chanzo cha ajali hiyo kuweka wazi.

 

Related post

REA YAANZA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 19,530 MKOANI MARA

REA YAANZA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 19,530 MKOANI MARA

14 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza mitungi ya gesi 19,530…
SERIKALI KUPITIA UCSAF KUFIKISHA MAWASILIANO KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI*.

SERIKALI KUPITIA UCSAF KUFIKISHA MAWASILIANO KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI*.

Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kuanza utekelezaji wa awamu mpya ya ujenzi wa minara 280 ya mawasiliano,…
TANZANIA YAJIPANGA KUONGOZA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA COP30

TANZANIA YAJIPANGA KUONGOZA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA COP30

16 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *