
NDOA YA YANGA NA PACOME IPO MWISHONI
- Michezo
- January 27, 2025
- No Comment
- 97
Inaelezwa Kuwa Mkataba Wa Nyota Wa Yanga Raia Wa Ivory Coast Pacome Zouzoua Upo Mbioni Kutamatika Na Hakuna Mazungumzo Ya Kuongeza Mkataba Yaliyofanyika Hadi Hivi Sasa.
Kwa Mjibu Wa Mwandishi Wa Habari Za Kimichezo Nchini, Hans Rafael Amesema Kuwa Nyota Huyo Amebakiza Mkataba Wa Miezi Sita (6) Ambao Utatamatika Mwishoni Mwa Msimu Huu.
Pacome Alijiunga Na Yanga Julai 19, 2023 Kwa Mkataba Wa Miaka Miwili Na Tangu Ajiunge Na Wananchi Amekua Na Kiwango Bora Katika Michezo Yote Aliyocheza Akiwa Na Jezi Ya Yanga.
✍️| Kastul Elias