
UFAULU WAONGEZEKA KWA 3% MATOKEO KIDATO CHA NNE
- Habari
- January 23, 2025
- No Comment
- 87
Baraza La Mitihani La Tanzania (NECTA) Limetangaza Matokeo Ya Kidato Cha Nne Kwa Mwaka 2024, Ambapo Jumla Ya Watahiniwa 477,262 Kati Ya 516,695 Waliofanya Mitihani Hiyo Wamefaulu Kwa Kupata Madaraja Ya I, II, III Na IV.
Taarifa Ya NECTA Imesema Kuwa Ufaulu Huo Umepanda Kwa Asilimia 3, Hivyo Kufikia Asilimia 92.37 Kutoka Asilimia 89.36 Mwaka 2023.
✍️| Kastul Elias
#bmtvtanzania