
VITA YA URUSI NA UKRAINE YAPOTEZA WANAJESHI 1,000 WA KOREA
- Habari
- January 23, 2025
- No Comment
- 75
Duru Mbalimbali Za Habari Zimeripoti Kuwa Takriban Wanajeshi 1,000 Wa Korea Kaskazini Wameuawa Na 3,000 Kujeruhiwa Katika Kipindi Cha Miezi Mitatu Wakati Wa Vita Vya Urusi Na Ukraine.
Imeelezwa Kuwa Korea Kaskazini Inaaminika Kutuma Wanajeshi 11,000 Kusaidia Jeshi La Urusi Kuwaondoa Wanajeshi Wa Ukraine Waliopo Katika Eneo La Kursk Kusini Magharibi.
Kwa Mjibu Wa Duru Hizo Zinadai Kuwa Wanajeshi Wa Korea Kaskazini Hawana Mafunzo Ya Kutosha Na Wanapigana Kwa Mbinu Za Kizamani, Wakiwa Hatarini Kushambuliwa Na Ndege Zisizo Na Rubani Zinazotumiwa Na Ukraine.
✍️| Kastul Elias