WIZARA YA AFYA YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI MIRADI

WIZARA YA AFYA YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI MIRADI

  • Habari
  • January 21, 2025
  • No Comment
  • 74

Waziri Wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Leo Januari 21, 2025 Ameongoza Menejimenti Ya Wizara Ya Afya Akiwa Na Naibu Waziri Dkt. Godwin Mollel Na Katibu Mkuu Dkt. Seif Shekalaghe Wakati Wa Kuwasilisha Taarifa Ya Utekelezaji Wa Miradi Ya Maendeleo Katika Kipindi Cha Julai Hadi Desemba 2024 Katika Kamati Ya Kudumu Ya Bunge Ya Afya Na Masuala Ya UKIMWI Ikiongozwa Na Mwenyekiti Wake Mhe. Elibariki Kingu (MB).

 

Wakati Wa Kamati Hiyo Waziri Mhagama Amesema Wizara Imeendelea Na Utekelezaji Wa Miradi Ya Maendeleo Ya Ujenzi Wa Miundombinu Katika Hospitali Ya Taifa, Hospitali Maalum, Hospitali Za Kanda, Hospitali Za Rufaa Za Mikoa Pamoja Na Vyuo Vya Afya.

 

“Lakini Pia Wizara Imefuatilia Utekelezaji Wa Miradi Zaidi Ya 40 Ya Maendeleo Ya Ujenzi, Kati Ya Miradi Hiyo, Miradi 20 Inatekelezwa Katika Hospitali Za Rufaa Za Mikoa, Miradi Tisa (9) Inatekelezwa Katika Hospitali Ya Taifa, Hospitali Maalum Na Hospitali Za Kanda, Miradi 11 Inatekelezwa Katika Vyuo Vya Mafunzo Ya Afya,” Amesema Waziri Mhagama

✍️| Kastul Elias

 

Related post

SERIKALI YAPANGA KUIMARISHA UBORA NA USALAMA WA  CHAKULA

SERIKALI YAPANGA KUIMARISHA UBORA NA USALAMA WA  CHAKULA

16 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera,akizungumza…
RAS ARUSHA: MAFUNZO YA PPRA YATAONDOA UWEZEKANO WA KUPATA HASARA

RAS ARUSHA: MAFUNZO YA PPRA YATAONDOA UWEZEKANO WA KUPATA…

11 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Bw. Missaile Musa amesema mafunzo yanayotolewa…
BIL 527 ZATEKELEZA MIRADI 13 YA TANROADS TABORA-ENG MLIMAJI

BIL 527 ZATEKELEZA MIRADI 13 YA TANROADS TABORA-ENG MLIMAJI

16 / 100 Powered by Rank Math SEO SEO Score Katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *