
YANGA BILA RAMOVIC KUIKABILI KENGOLD LEO
- Michezo
- February 5, 2025
- No Comment
- 72
Mabingwa Tetezi Wa Ligi Kuu Ya NBC Klabu Ya Yanga, Leo Watashuka Uwanjani Kuzisaka Alama Tatu Mhimu Mbele Ya Kengold.
Yanga Wanaingia Katika Mchezo Huo Wakiwa Na Kumbukumbu Ya Kuibuka Na Ushindi Wa Bao 1-0 Katika Mchezo Wa Kwanza Uliochezwa Sokoine Jijini Mbeya.
Mpaka Hivi Sasa Yanga Wapo Nafasi Ya Pili Ya Msimamo Alama Moja Nyuma Kutoka Kwa Kinara Wa Ligi Klabu Ya Simba SC, Na Akishinda Mchezo Huo Atafikisha Alama 45 Na Kuongoza Msimamo Wa NBC Huku Wakisubiri Matokeo Ya Simba Dhidi Ya Fountain Gate FC Hapo Kesho.
✍️| Kastul Elias