
PAPA LEO XIV AONGOZA MISA YAKWANZA AKIWA PAPA
- Habari
- May 9, 2025
- No Comment
- 44
Kiongozi mpya wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, leo ameongoza ibada ya kwanza ya misa, ikiwa ni masaa machache yamepita baada ya kuchaguliwa kuliongoza kanisa hilo.
Papa Papa Leo XIV, ambaye ni mzaliwa wa Mzaliwa wa Marekani alichaguliwa jana Alhamisi kuwa papa wa 267, kiongozi wa kiroho wa waumini bilioni 1.4 wa kanisa Katoliki, kufuatia mkutano maalumu wa makadinali wenzake katika makazi rasmi ya papa kanisa la Sistine mjini Vatican.
Papa huyo mwenye umri wa miaka 69, amerejea katika kanisa hilo kuongoza misa ya faragha na makadilani iliyooneshwa moja kwa moja na makao makuu Vatican, akitoa hotuba yake ya kwanza kama papa iliyosubiriwa sana kwa hamu.