MAKAMU WA RAIS KUZINDUA TAWI LA BENKI YA CRDB – BUHIGWE KIGOMA
- Habari
- August 26, 2025
- No Comment
- 21
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo tarehe 26 Agosti 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wilaya ya Buhigwe utakaofanyika tarehe 27 Agosti 2025


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo tarehe 26 Agosti 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wilaya ya Buhigwe utakaofanyika tarehe 27 Agosti 2025.